Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing'arisha Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali za wananchi wa Jimbo hilo. Hayo yamebainishwa leo Februari 02, 2025 na Naibu Wa ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kuepuka maeneo ya fukwe za bahari pamoja na miamba ya maziwa na mito ili kujinusuru na mafuriko n ...
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa, kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma, yaliyofanywa na ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT), imesema lengo kuu ni kupanga kufikia malengo waliyojiwekea kuendeleza zao hilo, kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2024 mpaka 2034. Kaimu Mkurugenzi Bodi hiyo, Beatrice Ba ...
RAIS wa Marekani, Donald Trump, akiwa takribani wiki moja IKULU ya White House, ameionya Jumuiya ya nchi zinazoinukia kiuchumi ya BRICS, kwamba zikiachana na matumizi ya dola yake, ataziwekea ushuru w ...
KUCHEZA kimkakati ili kupata ushindi ndio jambo muhimu kwa Simba kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Tabora United itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani, Ta ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam jana. Ulikuwa ni u ...