Mu gihe hari igitutu kigaragara cy'ibihugu by'iburengerazuba ku Rwanda na M23, Kinshasa na yo igaragaza ko yizeye ko amahanga ...
Baada ya waasi wa M 23 kuingia jijini Goma Januari 26, na kusababisha makabiliano makali na wanajeshi wa serikali FARDC, ...
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot yupo jijini Kigali, ambako anatarajiwa kukutana na rais wa Rwanda Paul ...
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
Kiongozi wa waasi ambaye wapiganaji wake wameuteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
卢旺达支持的刚果反政府武装占领该国东部最大城市戈马(Goma)后,星期四(1月30日)表示计划将战斗推进至刚果民主共和国首都金沙萨,有意展示其治理能力。对此,刚果总统费利克斯·齐塞克迪(Félix ...
M23 imepigana kwa miaka mingi kudhibiti migodi yenye utajiri mkubwa wa dhahabu na platinamu inayopatikana mashariki mwa DRC, ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
Baadaye ikatoka taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Paul Mselle, akithibitisha kwa wachezaji hao kupatiwa uraia wa Tanzania. Taarifa ilisema wachezaji waliomba na walipewa kwa mujibu ...