Baada ya hali ya usalama kuzorota zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku DRC na Rwanda zikishutumiana kuhusu msaada kwa waasi wa M23, wakuu wa mataifa ya Afrika Mashariki ...
Uamuzi wa Mahakama ya Juu nchini Uganda uliotangaza kesi za kijeshi dhidi ya raia kuwa kinyume na katiba ni ushindi wa haki za binadamu, linasema shirika la kimataifa la Haki za binadamu la Human Righ ...
Kundi hili la Kiislamu liliundwa miaka ya 1990 na lilihusishwa na mizozo ya ndani ya Uganda, likidai kuwa serikali ya Rais Yoweri Museveni ilikuwa inawatesa Waislamu. Baada ya kushindwa na jeshi la ...