Bao la kwanza la Orlando liliwekwa kimiani dakika ya 20 kupitia kwa Relebohile Mofokeng lililodumu hadi mapumziko kabla ya Thalente Mbatha dakika ya 61 akimalizia pasi ya Patrick Maswanganyi na wageni ...