Dar es Salaam. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania ...
Kwa mujibu wa Mnangagwa, suala la ulinzi wa raia nchini humo si la hiari, bali la kisheria kwa mujibu wa makubaliano ...
Dk Biteko amesema Serikali imelenga kuongeza kasi ya huduma hiyo kutoka asilimia 6.9 hadi kufikia asilimia 75 wakati nishati ...
Arusha. Uwekezaji katika miundombinu ya sekta ya nishati umetajwa kuwa nyenzo ya kuyafikia maendeleo endelevu nchini na ...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amefika na kuwatuliza wafanyabiashara hao, akikiri eneo walilopewa halifai kwa ...
Bukoba. Watu wawili kati ya watano waliofikishwa katika Hospitali ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakihisiwa kuwa na ...
Waombolezaji hao wameongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina ...
Mwanamuziki maarufu wa Pop duniani, Rihanna (36) alifika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili mpenzi wake na ...
Dar es Salam. Baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuwasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga ...
“Mke wangu alifariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa siku tatu tu. Alikuwa anavuja damu kila mahali tulipompeleka hospitali ...
Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13 wa Mwaka 2024, ambapo sasa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ...
Kaulimbiu ya Chadema ya “No Reform, No Election” imewaibua vigogo wa CCM ambao kwa nyakati tofauti wameizungumzia majukwaani ...